Kituo cha Biashara cha Kimataifa na Farwell Innovations (Nairobi) walitengeneza jukwaa hili baada ya utafiti kati ya 2019 na 2020 uliyoashiria kwamba wenye biashara ndogo ndogo wanahitaji huduma hii. Jukwaa hili limetengenezwa kwa ufadhili wa MARKUP, kikao kilichofadhiliwa na Umoja wa Ulaya na kinachohimiza biashara katii eneo la Afrika Mashariki.