- Orodhesha na linganisha aina mbalimbali ya mikopo inayofaa biashara yako, halafu udokeze mikopo inayolingana na biashara yako
- Tazama na linganisha taasisi kadhaa za kutegemeza biashara yako, zilizo na tajriba katika sekta ya biashara yako, na pia zinazotenda kazi biashara yako ilipo
- Soma zaidi kuhusu wafadhili na pia jinsi ya kuomba ufadhili
- Tumia stakabadhi mbalimbali kama vile Chuo cha ITC cha Biashara Ndogo
- Pata habari, matukio na ujumbe kuhusu ufadhili na huduma mpya za kukuza biashara
- Jisajili kama mfadhili wa biashara ndogo ama anayetoa huduma wa kukuza biashara. Waweza pia kuongeza au kubadilisha vidokezi vya biashara yako.